Teh teh teh kashindwa kununua kisa............

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Jaman hapa msaada tu unahitajika. Tumekipoteza kingereza na kiswahili cha kisasa haya majina kwa english ya ukweli yatakaaje:-

1. Suruali ya wanawake
2. Brouse
3. T-shirt ya wanawake
4. Top za wanawake
5. kibode cha wanawake
6. sketi mixer
7. Pochi

Naombeni msaada wa majina ya kitaalamu jaman kuna mtu wangu yupo nje kshindwa kununua kisa akisema hayo majina wenzie wanapigwa butwaa!
Naombeni msaada!
 
khe jamani kwani hizo sarawili za wanawake kuna jina jingine zaidi ya hilo we c uitage tu women trousers..au kuna mengine mapya.. mmh na hz elimu zetu za ngumbalo then tunaenda kuziupdate na vingereza za subtitle za movies na lyrics za nyimbo zitatupa shida... na hao wasiomuelewa waache zao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…