Hii imetokea Morogoro manispaa, kuna mwalimu anafundisha
shule A (sipendi kutaja jina la mwalimu au shule) kama
mwajiriwa wa serikali, somo la jiografia, harafu anafundisha
muda wa ziada (part time) somo hilo hilo katika shule B,
matokeo ya kidato cha 4 shule B watoto wamefaulu vizuri
kiasi kwa madaraja A, B na C pia (though matokeo yalikuwa
mabaya kwa nchi nzima), shule A ambako mwalimu huyu
kaajiriwa na serikali kufundisha somo la jiografia,.kuna
daraja C mmoja tuu. Unadhani sababu kuu ni nini? serikali na
tume yake haiitaki sababu hii hata kdg. BONGO MOVIES
NDANI YA ELIMU, the future is dark, only the politicians
will.survive.