Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
hii ni mwisho wa reli!!! [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyangau kafanyanini sijaelewaTuliwaambia Wakenya Kwa Instagram Hawata waweza Watanzania Never
Taifa stars veepee......
Mk254, hemu tuambie ukweli kuhusu uraia wako, mbona unaongea kiswahili fasaha kuliko wenzako... ?Taifa stars veepee......
Halafu hii comedy ya hawa vijana wa Chuga huwa napenda sana, hivi Tanzania hamna muigizaji wa kike, angeigiza kwenye hii video badala ya kutumia mwanaume mwenye mindevu.
Mk254, hemu tuambie ukweli kuhusu uraia wako, mbona unaongea kiswahili fasaha kuliko wenzako... ?
Ila wewe tofauti na wenzako, au muda mwingi unakuwa upo tz?Bro, Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, na kilibuniwa kwenye ukanda wa pwani ya Kenya na Tanzania enzi za mwarabu na biashara yake ya utumwa, kisha sisi wa mikoani tukakipokea kama mojawapo wa lugha za asili. Hivyo kila mmoja wetu ana jukumu la kukitumia ipasavyo.
Kuna kipindi niliishi Tz kwa muda.Ila wewe tofauti na wenzako, au muda mwingi unakuwa upo tz?