Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea Tehama kwa asilimia kubwa.
Izi traditional businesses tunazofanya naona kama zimeshajaa yani kila mtu ana mpesa ,kilaa mtu ana Hardware, kila mtu ana retail shop, fursa zimekatika kabisa.