Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
Hivi nikiinvest full kwenye kuanzisha blog na kuwa full itanichukua muda gani kuanza kupata faida?
- Website Design
- Graphice Design
- Computer maintanence
- Excel Calculations (Design Templates and Sell)
Kila biashara duniani inaweza kulipa.,Ni wewe msimamizi mtazamo wako utaamua. Kwa mimi kabla ya kuanza biashara, nakusanya wateja wenye shida fulani, mfano wajasiriamali wanaohangaika kupata wateja kwa kutumia internet, nawapa free offer ,wanapata wateja wa mwanzo ,kisha wanalipia . Hapo wanarecommend kwa wenzio,kwa hiyo nakuwa nakutana na wateja wapya dailyWenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea Tehama kwa asilimia kubwa.
Izi traditional businesses tunazofanya naona kama zimeshajaa yani kila mtu ana mpesa ,kilaa mtu ana Hardware, kila mtu ana retail shop, fursa zimekatika kabisa.