Tehran, Iran: Hijabu yanasa kwenye nguzo za umeme na kuua mwanamke. Watetezi wataka sheria kulazimisha wanawake kuvaa hijabu ifutwe

Hivi nyie wagalatia kwanini mnapinga vitu vizuri hivi unaona Raha Gani mama Yako avae kimini apite mbele uko na rafiki zako? Acheni kushabikia mambo ya kijinga hapa usiweke dini jali common sense
Huo utamaduni wa kigeni uishie hukohuko waafrika hatuwezi kuvaa kwa kufuata utamaduni wa kiarabu, tuna utamaduni wetu na tunajivunia kuwa nao.
 
Huo ni upuuzi kabisa. Kama kuvaa utafikiri "penguin" eti ndio uonekane umevaa basi ngoja sisi waafrika tutembee "uchi" kwani huo utamaduni sio wetu.
Huo utamaduni ni wa nyumbani kwenu sio Africa
 
Hivi nyie wagalatia kwanini mnapinga vitu vizuri hivi unaona Raha Gani mama Yako avae kimini apite mbele uko na rafiki zako? Acheni kushabikia mambo ya kijinga hapa usiweke dini jali common sense

Janaume zima linamuangalia dada/mke/mtoto au mama yake mzazi anavaa kimini na mawigi yao huku amepiga moka, watu wa ajabu mno mno hawa. We are so proud to be a Muslim, Al hamdu liLlah
 
Huo utamaduni wa kigeni uishie hukohuko waafrika hatuwezi kuvaa kwa kufuata utamaduni wa kiarabu, tuna utamaduni wetu na tunajivunia kuwa nao.

Utamaduni ni wenu ninyi waafrika msio na dini. Usijumuishe waislamu kwenye hilo.
 
Hata kule Mvuha mama mmoja alikufa baada ya hilo jumba kunasa kwenye tyre ya pikipiki
 
Nadhani hoja ambayo mwandishi wa uzi huu anaileta ni isiwe lazima kuvaa hijabu sio ipigwe marufuku.

Mfano mtu akiona pikipiki zinasababisha ajari sana anao Uhuru wa kutotumia pikipiki halazimishwi anaweza kutumia gari.

Huyu akiona hijabu inasababisha ajali hana hiari ya kutoivaa ni lazima avae, changamoto ipo hapo kwenye lazima.
Mfano kwetu Tanzania Hakuna anaelezimishwa avae nini ila anapaswa kuvaa kwa heshima katika maeneo ya umma ila hawezi kulazimishwa kwamba lazima uvae hijabu au uvae kanzu.

Ingawa mavazi ni suala la utamaduni wa mahali husika ila mijadala ni lazima kama kuna mabadiliko kulingama na nyakati.
 
Ni upuuzi mtupu, utavaaje gunia mwilini?
 
Yan hawa wakirisitu wanataka watu wote duniani watembee uchi kama wao ndo walizike na ushetani wao
Quran ishamaliza hawatokua radhi mpk mfuate mila zao yule kibweterw kuuwa watu wote hv makanisa talifungwa au hijjabu ndio tatizo kubwa Sanaa au tuishi aya kama inavosema
 
Janaume zima linamuangalia dada/mke/mtoto au mama yake mzazi anavaa kimini na mawigi yao huku amepiga moka, watu wa ajabu mno mno hawa. We are so proud to be a Muslim, Al hamdu liLlah
Kabisa ni magoti yao meusi
 
Huo utamaduni wa kigeni uishie hukohuko waafrika hatuwezi kuvaa kwa kufuata utamaduni wa kiarabu, tuna utamaduni wetu na tunajivunia kuwa nao.
Endelea kuoga na mwanao beach haya mambo huyawezi yamekuzidi kina
 
Hata kule Singida abiria wa Pikipiki mtandao wake uliingia kwenye Spoku akaangushwa kwenye vile vitofali vya pembezoni mwa barabara akafariki. Hilo kosa halina wa kulaumiwa ni ajali
 
Aliyegundua umeme,ulmuua,ndio ikajulikana umeme unaua.Kwa hiyi tuondoe umeme,ndio bora zaidi,kwa sababu ulimuua aliyeugundua.Na pia umeme umeua mafundi wengi tu wa umeme wanaume,mbali na shot za umrme zilizoua wengi tu,na hawajavaa hijabu.Radi ambayo pia ni umeme,umeua wengi tu,na hivi karibuni wanafunzi walipogwa na radi wengi tu,na kufariki.
 
Hata kule Singida abiria wa Pikipiki mtandao wake uliingia kwenye Spoku akaangushwa kwenye vile vitofali vya pembezoni mwa barabara akafariki. Hilo kosa halina wa kulaumiwa ni ajali
Hizo ni ajali,juzi wamekufa abiria watatu na mwendesha pikipiki.hawa nao walivyaa hijabu?Na,imetokea Geita,ambako hakuna waislamu wakuvyaa hijabu.
 
Huo utamaduni wa kigeni uishie hukohuko waafrika hatuwezi kuvaa kwa kufuata utamaduni wa kiarabu, tuna utamaduni wetu na tunajivunia kuwa nao.
Enyi wagalatia,nani aliwaloga?Mgunduzi wa,umeme,ulimuua,ndio ikajulikzna kuwa umeme unaua,kwa hiyo tupige marufuku umrme,kwa vile unaua,maelfu ya watu.
 
Unataka waanze kuvaa nusu uchi sivyo?

Na mbona hao wanaovaa nusu uchi wanaua watu wengi sana kuliko?
 
Ni kama kusema gari imepata ajali hivyo kuanzia sasa watu watembee kwa miguu na mfano wa hayo
Huu sio mfano wake sahihi..........kwanini ni lazima kujifunika gubi gubi.............?? Kuna vitu vya lazima kama kunya,kula,kutafuta pesa ,kumjua mungu kwa imani yako.............lakini kuvaa hijab sio lazima ........haiongezi damu wala ridhiki kwa familia .........tuna waona wapo huku mpaka juba linatoa harufu........na joto hili mtawaua.............hakuna pepo ya lazima muacheni kira mtu aitafute mwenyewe...............unamlazimishaje mtu kupenda unachokipenda ikiwa kira mtu ana vision yake
 
Yan hawa wakirisitu wanataka watu wote duniani watembee uchi kama wao ndo walizike na ushetani wao
Ukristo ni dini ya ovyo sana! Mwanamke akitembea nusu uchi hapo ni sawa ili wapate kuona maumbile yao wanawake,akijistili hawapendi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…