Teja wa mapenzi

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Jamani salama?wakubwa shikamon..wadogo marahaba!vijana mambo vp?,jamani nilikuwa naomba kitu kimoja nilikuwa napenda kama ningepata mtoto wakike ambaye ataniliwaza kwenye mapenzi.mimi nina 21,ni Mtanzania ninayeishi Zenji pia ni mfanya Biashara,kwa kifupi,natafuta mwenza wa maisha nitakaye mkabizi MOYO wangu,picha yangu ndo hiyo hapo,kama uko powa nicheki ma #0654532952 or dazipozi@yahoo.com
 
Hiyo picha mbona siioni?

Alafu umekosea njia, wachumba wanatafutwa LOVE CONNECT sio MMU.
 
Mbona picha ina vichwa viwili, au ndo ile Zenj styl?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…