Teknolojia ya kutuma/kupokea data katika umbali mfupi itumiayo masafa mafupi ya redio (short wavelength radio transmission)
Iligunduliwa na kampuni kubwa ya mawasiliano ya Ericisson mnamo mwaka 1994, na mpaka sasa inatumika karibu na kila kifaa cha electronic zikiwemo simu, kompyuta, magari, na hata microwave oven.