Hivi karibuni mabadiliko mengi ya ki teknologia yamekua yakiendelea hapa nchini. Mimi kama mtumiaji wa intaneti nimekua nikifuatilia maendeleo mbali mbali yanayo fanyika kwenye mtandao yani Internet.
Katika harakati zangu za kubovya bovya nimekutana na tovuti ya mnada www.auctionmart.co.tz ambayo nili search information zake nika gundua ilisha anza mda wa nyuma na sasa inarudi tena kwa muonekano mpya.. Sija bahatika kuona muonekano wake kwani bado siku mbili ifunguliwe tena rasimi.
Nina subiri sana kwa hamu kuona ni namna gani itakua kwani naona kama Tanzania soon tutakuwa na ebay yetu. Ni maendeleo ambayo nadhani wote tungependa kua nayo
Nitazidi kuwajulisha wadau Wangu wa Tanzania kuhusu maendeleo mbali mbali nitakayo yaona kwenye mtandao