Teknologia ya Mawasiliano Tanzania imekua. Minada itaendeshwa online hivi karibuni

robietz

Member
Joined
May 14, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Hivi karibuni mabadiliko mengi ya ki teknologia yamekua yakiendelea hapa nchini. Mimi kama mtumiaji wa intaneti nimekua nikifuatilia maendeleo mbali mbali yanayo fanyika kwenye mtandao yani Internet.

Katika harakati zangu za kubovya bovya nimekutana na tovuti ya mnada www.auctionmart.co.tz ambayo nili search information zake nika gundua ilisha anza mda wa nyuma na sasa inarudi tena kwa muonekano mpya.. Sija bahatika kuona muonekano wake kwani bado siku mbili ifunguliwe tena rasimi.

Nina subiri sana kwa hamu kuona ni namna gani itakua kwani naona kama Tanzania soon tutakuwa na ebay yetu. Ni maendeleo ambayo nadhani wote tungependa kua nayo

Nitazidi kuwajulisha wadau Wangu wa Tanzania kuhusu maendeleo mbali mbali nitakayo yaona kwenye mtandao
 
Junior Member



Join Date : 14th May 2011
Posts : 1
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0


Ulijiunga mahsusi kwa ajili ya kutundika hii post!!!!!!
 
Ndiyo mdau nimejiunga leo ili niwe natoa updates kuhusu maendeleo mapya nitakayo kua nikiyaona kwenye mtandao.. Leo na anza na hili kwani limeni furahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…