JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Watu wote wanastahili kufurahia Maendeleo ya Teknolojia na Mchango wake katika Maisha ya kila siku
Hata hivyo, tuna Haki ya kuamua nani afahamu nini kuhusu sisi, na kuweka Mipaka katika Matumizi ya Taarifa zetu Binafsi
Faragha ni Haki ya Msingi inayopelekea Haki nyingine kulindwa na kuheshimiwa ipasavyo. Inapoingiliwa, inaweza kuathiri Haki nyingine za Binadamu ikiwemo Uhuru wa Kujieleza