Yuko sawa.. huwezi kupanga maisha kuishi Mars wakati hapa tu palikushinda mgogoro wa Urusi na Ukraine pengine ikawa ni rahisi kusolve kuliko hayo watakayo kutana nayo Mars
Sent from my SM-A135F using
JamiiForums mobile app
Tatizo wewe unafikiria hii miezi mitatu ijayo, wenzako wanafikiria miaka laki 3 ijayo.
Mzee hivi unajua dinasours walikuwepo hapa duniani wanakula bata na misele kwa miaka zaidi ya mil200. ila siku 1 tu kilishuka bonge la kimondo na ndo ukawa mwanzo wa mwisho wa kuwa na dinasours hapa dunian.
Sasa sisi duniani tuna miaka kama laki2 tu, vipi ikitokea nuclear war?Vipi ikilipuka gonjwa ambalo halitibiki na kuua kila mtu?Vipi siku moja ghafla core ikiacha kuzunguka na kupoteza ule mvuto wa sumaku unaofanya atmosphere iwepo?(ilishatokea huko mars)
Vipi ikilipuka supervolcano? Au vili siku tukipatwa na solar storms?
Je janga.lote la hivi likitokea ndio utakuwa mwisho wa story yetu sisi binadamu kama ilivyokuwa kwa dinasours(ingawa dinasours waliobaki ni hawa ndege wa leo)
Kwahyo inaonesha kuwa ili kuendeleza specie yetu inabidi tuwe multiplanetary.
Sasa wewe unaweza kuargue kuwa sasaivi ni too early kwasababu technology bado hatuna..(na utakuwa sahihi)But its never too early to start.
Na kumbuka the sooner the better, tunaweza kusubiria mwaka 5000 tufanye hivo ila kesho putin akabonyeza ile red button ya nuclear ikawa game over.
So kuhama dunia ni inevitable.
Labda swala liwe ni how.