Teknolojia inazidi kukua

Teknolojia inazidi kukua

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Teknolojia inazidi kukua.

Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.

Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
 
kabisa mkuu mambo ya tech yanabadili kwa kasi sana.
 
Kwa ninavyoona 5G kwa nchi zetu hizi itaenea Labda miaka kumi ijayo maana huko kwa wenzetu tu bado hawajafunga sehemu zote ni baadhi tu ya maeneo japo wapo Kasi kwelikweli

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Teknolojia inazidi kukua.

Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.

Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
Please usituumize hisia. Hawa misukule waliopo serikalini wanawezaje kufikiria au kuja na idea creative kama hizo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teknolojia inazidi kukua.

Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.

Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
Huo ni ucapitalism tu mkuu.

Linapokuja suala la Range ya network 2g inaongoza then 3g then 4g then 5G.

Wanaposhut down tech za zamani
1. Wachache wanaoishi vijijini hawapati network
2. Wanaforce watu kulipia zaidi kwa ajili ya Tech mpya ili warudishe peza zao.

Screen Shot 2021-08-06 at 9.53.09 AM.jpeg.jpg

Kuna wamarekani wengi wanalalamika kuhusu hii issue.
 
Kwa ninavyoona 5G kwa nchi zetu hizi itaenea Labda miaka kumi ijayo maana huko kwa wenzetu tu bado hawajafunga sehemu zote ni baadhi tu ya maeneo japo wapo Kasi kwelikweli

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
5G haitakuja Kuwa mainstream, band zake ni kubwa sana.

5G yenyewe coverage ni Futi 1000 ambazo ni kama Mita 300 (viwanja vitatu vya mpira), ina maana kucover mwenge mpaka mbagala kilomita kama 20 unahitaji minara si Chini ya 60, imagine Dar nzima ama Nchi nzima,
 
Duuuh...lakini Labda huko tunapoenda coverage itaongezeka kutokana na kukua Kwa teknolojia

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Duuuh...lakini Labda huko tunapoenda coverage itaongezeka kutokana na kukua Kwa teknolojia

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Labda 7G na kuendelea, maana 6G rumors inaenda 30ghz mpaka 300ghz ngumu kupata coverage na hizo frequencies.

Kukitokea breakthrough frequency ndogo kama 800mhz zikatoa speed kubwa basi wanaweza ku re use frequency za 2G na 3G ili kupata coverage na speed.
 
Back
Top Bottom