Please usituumize hisia. Hawa misukule waliopo serikalini wanawezaje kufikiria au kuja na idea creative kama hizo?!Teknolojia inazidi kukua.
Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.
Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
Huo ni ucapitalism tu mkuu.Teknolojia inazidi kukua.
Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.
Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
5G haitakuja Kuwa mainstream, band zake ni kubwa sana.Kwa ninavyoona 5G kwa nchi zetu hizi itaenea Labda miaka kumi ijayo maana huko kwa wenzetu tu bado hawajafunga sehemu zote ni baadhi tu ya maeneo japo wapo Kasi kwelikweli
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Duuuh...lakini Labda huko tunapoenda coverage itaongezeka kutokana na kukua Kwa teknolojia5G haitakuja Kuwa mainstream, band zake ni kubwa sana.
5G yenyewe coverage ni Futi 1000 ambazo ni kama Mita 300 (viwanja vitatu vya mpira), ina maana kucover mwenge mpaka mbagala kilomita kama 20 unahitaji minara si Chini ya 60, imagine Dar nzima ama Nchi nzima,
Labda 7G na kuendelea, maana 6G rumors inaenda 30ghz mpaka 300ghz ngumu kupata coverage na hizo frequencies.Duuuh...lakini Labda huko tunapoenda coverage itaongezeka kutokana na kukua Kwa teknolojia
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app