Mastory worldwide
Member
- Jun 25, 2024
- 6
- 6
Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anamaanisha Chat GptUmeandika nini hiki kijana 🤒🤒🤒
Sio hivyo tu, pia unaweza kuandika mashairi tu na baada ya sekunde chache wimbo tayariTeknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
Google au unaongelea hizi Artificial intelligence (AI) tools kina Chat GPT, Copilot na wengineo?Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.