Teknolojia ipo kasi sana

Joined
Jun 25, 2024
Posts
6
Reaction score
6
Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
 
Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
Google au unaongelea hizi Artificial intelligence (AI) tools kina Chat GPT, Copilot na wengineo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…