Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
 
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima….. hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

.trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -tz mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, and yet wanapiga deal fake, mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana…. Polisi TZ yote hayo hamdeal nayo…… mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Hivi black skin mnalaana gani? Mbona hampo rational

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine….. mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Nashauri muanze na source ya kwanza aliyepost hizo clip mtandaoni…. Huyo atamtaja aliyerekodi na muwafanye mfano.

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Tunataka kusikia Kibao yupo wapi ?

Ni Nani aliyemuua Maalim Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga tundu lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ?

Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Kwa hiyo hivyo ndio ulivyojifunza huko Canada?
 
I dont see an issue there, traffic wamekuwa wakitusaidia sana barabarani kwa kweli, na wao ni binadam

Black skin huwa wanashida na maskini wenzao, not a problem at core..

Huyo alierekodi ni mtu aliekosa busara kabisa.

Nikiangalia wale trafick nawaonea huruma sana...

Ila siku nyingine muweke utaratibu awe anapokea third party kama wenzenu wanavyofanya.

Vi buku mbili ni facilitation allowance na sidhan kama ni rushwa per se as per definition.

Mfano konda anampa trafc buku mbili ni ili traffic asifanye kitu gani? Kuna haki gani haitopatikana akitoa hiyo buku 2?

Kama consequences ni so immaterial kuwaweka sijui lock up na kuwasimamisha kaz si jambo la uungwana sana.

Kuna kuelimishana na kuchukuliana...

Alie msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
 
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Hivi black skin mnalaana gani? Mbona hampo rational

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Nashauri muanze na source ya kwanza aliyepost hizo clip mtandaoni…. Huyo atamtaja aliyerekodi na muwafanye mfano.

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
SIJUI KWANINI NIMESOMA HUU UPUMBAVU.
 
Mfumo wote wa jeshi la polisi umejaa failures, yamejazana majinga jinga mshahara mdogo, makazi duni, weledi hafifu, zero exposure. Zimejaa ng'ombe ambazo zimeridhika na maisha ya kifukara. Amkaa acheni kulinda wezi wachache wanao umiza mamilioni ya raia.
🤣🤣🤣 wanaenda kumkamata na kumuweka maabusi mtu anaekula elf 2 wanawaacha watu wanaojiita bongos wa nchi ,wanaokula billions

Mambo ya hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom