Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

Usisumbuke bidhaa zipo Tanzania,zipo Kenya na kwingineko. AdPower wameamua kuondoa biashara mitandaoni na kufanya B2B kwa sasa. mojawapo ni kupunguza product immitations . Ni vyema ukajaribu product then ukaja kuhadithia hapa product efficacy yake.
 
Yes ni product mpya hii na ambayo ipo sokoni mwaka wa tatu by now.

Actually fahamu tu jambo moja kuhusu Japan.Product zao nyingi hawaleti huku,kwasababu nyingi kama Product immitations,Kaizen strategy of not producing for mass(chinese way) ,kuzalisha kwa nchi yao pekee kwasababu ya bei na ubora wao . Hebu tafuta hii tafuta spares na other vehicle products brand new direct from japan na uje utupe mrejesho hapa. Mfano agiza 1HZ 4.2 Landcruiser from Toyota japan utapata mrejesho
 
Labda upate uelewa kwanza,used cars is for export. Huweki Adpower kwa gari mpya bali gari ambazo tayari mfumo wake umeanza kuchakaa(chakavu). Huwezi kuona AdPower kwa sasa ila nadhani utaziona very soon kwasababu hawa wana awards japan. Na japan wana reviews nyingi na za kutosha. Its a new inventions so its need time to take off and be all over,same as the first entry of every technology..its starts as threat,....

Hata hii spray hawauzi mitandaoni ,you order in bulk through B2B thats a market channel for them.
 
Wanauza hiyo bidhaa kwenye website yao wenyewe. eBay wana presence lakini hawana stock na wamewauzia watu 3 tu hadi sasa. Amazon.jp.co wamewauzia watu wachache sana na product status ni "currently unavailable". Kama una product nzuri na innovative, itajiuza. MImi naona hii ni kama zile motor chemicals Liqui Moly, Total, na kampuni kibao wanauza kwa gharama kubwa wakidai zita improve hiki na kile, lkn at best it's a total waste of money.
 
Kama kweli unataka ku-prove kwa watu kwamba ni waste of money, then prove it kwa kutumia wewe mwenyewe ... Tumeshakuelezea kuwa adpower-global wameacha kuuza online wanafanya b2b kwa sasa, still unashindwa kuelewa.

Naomba ulete proof hapa kwa kujaribu wewe mwenyewe na sio maneno tu.
 
More proof ; AdPower-Global wanauza kwa other Businesses.

Zenplus Japan
- https://zenplus.jp/adpower-diesel-for-diesel-vehicles-patented-just-stick-it-on-the-engine-air-c/p/mmstore%3A16e81664-4f9b-425f-9a80-b6ad6c418afd

Shopee Singapore
- https://shopee.sg/AdPower-Car-fuel-...allation-Made-in-Japan-i.423790442.8251981999
 
Nikiamua kununua bora niagize directly kutoka Japan. Ni much cheaper plus shipping is free.
 
AdPower inawezekana una product nzuri ila unashindwa kujieleza. Oxygen is at the centre of everything in Engine, the lower the oxygenated air-intake the lower the combustions and carbon-fouled plug. walichofanya hao jamaa wame deal na Oxygen tu maana wanajua Quality ya mafuta in third world ni chini, na magari mengi yanaenda small routes mijini ambayo ni leading cause ya kuunguza plugs na kula mafuta .So the technology is just "air ionization" using magnets technology tu . Jifunze kuelezea mambo magumu kwa lugha nyepesi.All the best
 
Nimeagiza direct from adpower-global kutoka Tokyo, Japan leo nimepata mzigo.

Huwezi amini nimeagiza tarehe 22 Februari leo nimepata mzigo kupitia posta na nimelipa elfu 48 tu kwa sticker moja.




 
The laminate seems working for Diesel Generators and my level 1 Diesel emmision car 😂.Savings has been somewhat substantial. There is a need to see if it can provide same magic for up to 2 years as claimed by distributors. Otherwise price is scary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…