Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Dunia imeingia kwenye teknolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, teknolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida japo yenyewe wino wake ni kama zege!
Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya nyumba ambayo imeingizwa kwenye mtambo, nyumba hizi kwa hapa Afrika Mashariki zimejengwa Kenya.
Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya nyumba ambayo imeingizwa kwenye mtambo, nyumba hizi kwa hapa Afrika Mashariki zimejengwa Kenya.