Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ungeweka na picha basi. Au video
Kenya sehemu gani. Msikuze Mambo leteni ushahidi.Dunia imeingia kwenye tekinolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, tekinolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida japo yenyewe wino wake ni kama zege! Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya nyumba ambayo imeingizwa kwenye mtambo, nyumba hizi kwa hapa Afrika Mashariki zimejengwa Kenya.
DuhKenya wako mbele sana kwa mambo ya printing. Kuna kazi za kuprinti hapa tz hazifanyiki mpaka uende kenya.