SoC04 Teknolojia ni ajira

SoC04 Teknolojia ni ajira

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Kumekuwa na zana teknolojia Ina haribu watu hasa mitandao ya kijamii na maudhui yanayopatikana ndani yake ila teknolojia ni mwokozi wa ongezeko la ajira kama tukizingatia mambo ya fuatayo Kwa umakini.

1. Vyuo ya teknolojia viongezeke.kama tunavyoona veta ni mwokozi pia vyuo vya teknolojia hasa it viongezeke pia humh Kuna ajira nyingi sana kama wasomi watazalishwa wange wenye taaluma ya vitendo kuja mitaani na wengi kujiajiri haraka wenyewe.

2. Tuwe na wataalam kutoka nje vyuoni wenye ubobevu wa maswala ya teknolojia Kwa vitendo.mwanafunzi Bora anatengenezwa na mwalimu Bora tuwaombe wenye teknolojia iliyo kuwa wawe wanafika hapa vyuooni kuwaongezea ujuzi wasomi wetu ili wakimaliza vyuo waweze kukimbizana na Kasi ya teknolojia huko duniani na mitaan

3. Vyuo viwe na vifaa vya kisasa kuendana na soko la Dunia la teknolojia:huko vyuoni tupate vifaa vinavyo endana na taaluma na soko lake mtaani mwanafunzi akitoka awe sio mgeni n mwenyeji hata akipata kazi nje sio mgeni na mwenyeji wa vifaa kuvitumia.

Kuwe na short course nyingi: hizi zitasaidia wale vijana wasio amini katika usomi wa miaka mingi hasa wale wa haraka haraka hizi course ziwe bei rafiki ili vijana wengi wapate kuzisoma na kuzielewa ili kuweza kuwa wabobevu huko kwenye soko la teknolojia duniani na ndani.

Teknolojia kama itasimamiwa na kuandaliwa vizuri huko vyuoni itatoa wahitimu wabobezi ambao wengi watakuja kuongeza fulsa za kazi Kwa vijana wenzao hasa kwenye maswala ya kiteknolojia.

Teknolojia ikiandaliwa vizuri ndani itatoa vijana wengi Bora watakao sambaa ndani na nje ya nchi za watu kupata ajira na sio kutegemea ajira za ndani.

Teknolojia inaweza saidia vijana wandani kama wameandaliwa vizuri hata kufika Kwenye kampuni ya Elon musk na kufanya kazi au uko kampuni ya iphone na kwingineko pia.

Ni wajiribu wa serikali kuwekeza Sasa kwenye teknolojia Bora ya vyuo vikuu ili kuboresha WiGo Mpana Kwa kuongezea vyanzo vy ajira Kwa wasomi wajao huko miaka ya mbeleni.

Teknolojia ni chanzo kikubwa kinacho weza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira ndani ya taifa kama tu serikali itaamua kuwekeza nguvu kama inavyo wekeza nguvu katika ununuaji wa ndege.

Kila mwaka kama vijana wata maliza wakiwa ni wabobevu kiteknolojia soko lao nje litakuwa lipo Kwa hiyo hawata gombana na soko la ndani la ajira
 
Upvote 1
Teknolojia ni chanzo kikubwa kinacho weza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira ndani ya taifa kama tu serikali itaamua kuwekeza nguvu kama inavyo wekeza nguvu katika ununuaji wa ndege.
Na hata kabla ya kufika huko. Teknolojia itasaidia maisha ya raia mojakwamoja
 
Back
Top Bottom