chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Leo nimefikiria jinsi biashara au kazi za watu mbali mbali zilivyo kufa gafla kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
Teknolojia inaendana na muda lakini watu wengi kusoma alama zinawapa wakati mgumu.
Mfano kipindi cha masanturi mpaka kaseti za mziki,VHS kwenda CD ,CD kwenda DVD na SVD kwenda Flash disk,sasa ni cloud storage.
Biashara nyingi zimekufa au watu wengi wamepoteza kazi bila kuendana na teknolojia na muda wake.
Inapokuja teknolojia mpya hakikisha unakwenda nayo kwa wakati kuanzia baishara yako au kazi zako ili ikija mpya nayo utumie vile vile.
Mfano leo hakuna anaye nunu TV za chogo,Leo hakuna anaye nunua simu janja isiyokuwa na android au IOS na kwendana na wakati.
Ni hii kitu ndio Apple anafanya sana ili mwendane na wakati kila toleo lilopita kuacha kuboresha IOS .