#COVID19 Teknolojia ya 5G haienezi COVID-19

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G.

COVID-19 huenezwa kupitia matone ya kupumua wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa, kupiga chafya au kuzungumza. Watu wanaweza pia kuambukizwa kwa kugusa sehemu yenye virusi na kisha kushika macho, mdomo au pua.

======

FACT: 5G mobile networks DO NOT spread COVID-19

Viruses cannot travel on radio waves/mobile networks. COVID-19 is spreading in many countries that do not have 5G mobile networks.

COVID-19 is spread through respiratory droplets when an infected person coughs, sneezes or speaks. People can also be infected by touching a contaminated surface and then their eyes, mouth or nose.

Source: WHO
 
Hakuna aliyesema 5G inaneneza Corona. Bali kuna connection katika ya kuchoma watu chanjo na kukua kwa teknolojia ya 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…