Teknolojia ya 5G haienezi maambukizi ya #COVID19

Teknolojia ya 5G haienezi maambukizi ya #COVID19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO), Virusi vya Corona havisambai kwa njia ya mawimbi ya mtandao

Dhana hii imejengwa na kusambazwa kupitia Mitandao ya Kijamii na kuendelea kujenga hofu na taharuki miongoni mwa watu wengi duniani

Maambukizi ya #COVID19 yanasambaa kupitia majimaji yamtokayo muathirika kwa njia ya kukohoa na kupiga chafya

WHO inashauri kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka, kutumia vitakasa mikono pale unapokosa maji, vaa barakoa kama umeathirika au unatembelea eneo lenye mkusanyiko

Kama huna sababu ya msingi ya kutoka nyumbani kwako basi unashauriwa kukaa nyumbani

#JFCOVID19_Update #JamiiForums #JamiiTalks

=========

eng-mythbusting-ncov-(15).png

5G mobile networks DO NOT spread COVID-19

Viruses cannot travel on radio waves/mobile networks.COVID-19 is spreading in many countries that do not have 5G mobile networks.

COVID-19 is spread through respiratoatry droplets when an infected person coughs, sneezes or speaks. People can also be infected by touching a contaminated surface and then their eyes, mouth or nose.
 
Upvote 0
WHO nao sio watu wa kuwaamini sana. Walituchanganya sana kuhusu kirusi cha Covid-19. Instead wawe wakweli kusema kirusi ni kipya hawana info za kujitosheleza wakawa wanatupa Misinformation. Tupo hapa leo kwa uzembe wa WHO. Namsuport trump katika hilo. Walituambia kirusi hakisambazwi kwa njia za hewa hivyo mask sio lazima. Sasa wanasema kila mtu avae mask...

Sent From Galaxy S9
 
Huu ugonjwa ni mpya kwa hyo WHO hawana info za kutosha kuhusu huu ugonjwa hvyo tutegemee update zinazotoka kila siku kutoka huko WHO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaobishana na WHO naelewa mnapotokea, mwanzoni ni kweli walileta politics kwenye hili swala, ila mada inayoongelewa hapa ni 5G, na kwa hili WHO wapo sasa 100%. 5G haiwezi leta corona piga ua, it's impossible. Anayemuamini gwajima anafikiria otherwise ushauri tu usizae au ukizaa peleka watoto shule usiwaambukize hako kaugonjwa ka akili.
 
Testing za 5G

Ndo zinaua watu ....including emition ya radiations

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata jua linatoa radiation, radiation inayotoka kwenye jua nusu saa ni sawa na radiation utakayopata ukisimama mbele ya mtambo wa 5G kwa mwaka mzima, kwa hiyo jua tulizime? au tusitoke nje?

Hizo testing mnazosema sijui mnnaongelea zipi, 5G nchi za wenzetu imeshasambaa maeneo mengi tu, hata mimi nje ya ninapokaa tu kuna mtambo wa 5G. Haipo kwenye testing phase sasa hivi, imeishakua deployed maeneo mengi tu.

Hao watanzania walipataje corona? navyojua hamna 5G tanzania, waliokuja toka nje si wangepona iishe, ila hadi leo wanaambukizana.
 
Unakurupuka sana ukidhani unajenga HOJA.

Nimesema testing,radiation ikiwa moja ya factors...zipo nyingi.....
 
Unakurupuka sana ukidhani unajenga HOJA.

Nimesema testing,radiation ikiwa moja ya factors...zipo nyingi.....

Hizo factors nyingi zitaje tuzione maana tumezoea nyie hua hamna data mnakuja tu kuropoka bila kua na evidence yoyote, anayekurupuka ni wewe, mimi nina scientific evidence, research naweza kupa kibao zinazobackup claim yangu, wewe naomba uje na hata moja inayosema 5G inasababisha corona.

Testing za 5G systems unajua hata zinafanywa vipi? Andika sasa hizo factors nazisubiri, ukiwa right nitaungana na wewe 100% ila kama huna la kuongea uwe unakaa kimya tu kuliko kujifanya mtaalamu unakuja kudanganya watu, tumechoka na fake news online lazima tuwaambie ukweli
 
A

Acha kuwa na mihemko .

Usiwe ignorant....hakuna sehemu nimeandika test za 5G zinasababisha corona...

Na hakuna sehemu nimesema 5G inasababisha covid-19 otherwise unaongea na mtu mwingine.

I have only said testing za 5G,zina side effects kwa humans....lakini sikusema side effect yenyewe ni corona.

So usiniwekee maneno mdomon.

Alafu kaa na hayo matango pori yako na mataputapu unayoyaita backups na research.
 
Umesema testing za 5g zinaua watu, nani kafa kwa testing ya 5G?
Tuambie hiyo habari umetoa wapi.
Mihemko mnayo nyie full kutamka ujinga tu huku hamna source yoyote ya kueleweka.
Talk fact not shit.
 
"Testing ya 5G zinauwa watu", aya tuelimisheni basi tujue namna zinavyo uwa watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom