Teknolojia ya Akili Mnemba inaweza kutengeneza matukio yasiyo halisi kwa lengo la kupotosha. Thibitisha kabla ya kusambaza

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo dhidi ya uhalisia ili kuepuka upotoshaji.

Majukwaa ya Uhakiki wa Taarifa kama JamiiCheck.com yanakuwezesha kupata ujuzi utakaokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo.
 
Sawa
 
Umezungumzi AI picha .Hata mto mada naye kashindwa kuelewa kuhusu AI.
Ai ya kuchakata data kuchambua taarifa ni tofauti na AI ya kutoa taarifa mfano picha.

Nimeweza kufanikisha program kibao kimakosa alafu wewe useme ni uongo.
 
AI📌
giphy.gif
 
Back
Top Bottom