Mbali na matatajio ya wengi tulivyotarajia kuwa Gwajiboy angekiri kuwa ile kideo ilikuwa yake na pengine angeomba msamaha, ajiuzulu au kuelezea ilivuja vipi. Gwajiboy akachomoa kama walivyochomoa Liverpool dhidi ya Barca 4 bila.
Swali Je, Editing na tekinolojia anayodai gwajiboy ipo na inawezekana.
Jibu, ni ndio Kuna teknolojia inaitwa AI (artificial intelligence) na 3D printing inaweza kuedit video hizo.
Tayari 3D na AI ishafanya kile anachodai baba askofu kuwa want edit.
Tazama hapa kuona baadhi ya video za editing Alizofanyiwa Barack Obama.
Nyingine hii
Gwajima alipaswa alete video origino ambayo inaonyesha mhusika wa tukio sio porojo za bausa.
Kufahamu kidogo kuhusu AI na 3D Soma Uzi wa kijana wa forex
www.jamiiforums.com

Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?
Salute bosses! Sina takwimu zozote (kama alivyosisitiza Anko), lkn binafsi nahisi nimekumbwa na ugonjwa wa micropsia, yani naona kama mwaka 2017 umekua mfupi kuliko miaka mingine yote, juzi tu tulikua Jan 2017 mara paap 2018 hii hapa. Mwaka ulioisha nilibahatika kusoma jumla ya vitabu 86...