Teknolojia ya Kenya ya kupambana na Trafiki wala Rushwa Barabarani

Teknolojia ya Kenya ya kupambana na Trafiki wala Rushwa Barabarani

ANAUPIGA MWINGI

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2022
Posts
389
Reaction score
757
Fungua video hapo uangalia, Kuna cha kujifunza
 
Wawafungie pia magavana, mawaziri, makatibu wakuu, KRA ndio 2atafanikiwa. Waache kuwaonea matrafiki wa hela kuokoteza
 
Utasikia kesho na keshokutwa Tanzania nayo itaiga hata kwa kuunga unga tu bila kujiandaa. Utaona mchina ama mhindi wa IT kampuni ya nje inapewa tenda wakati wana tuko hapa hapa na proposal tushwawwpelekea
 
Wawaache tu. Gari zetu zenyewe asilimia 80% sio road worthy, sasa wakipewa rungu tutasumbuliwa sana
 
Utasikia kesho na keshokutwa Tanzania nayo itaiga hata kwa kuunga unga tu bila kujiandaa. Utaona mchina ama mhindi wa IT kampuni ya nje inapewa tenda wakati wana tuko hapa hapa na proposal tushwawwpelekea

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Tanzania ikiiga siyo mbaya rafiki ila nashauri Wahandisi wa Kenya wa sekta ya majengo waige wenzao wa Tanzania katika kusimamia ujenzi majengo yamezidi kuporomoka kila kukicha leo tena Kasarani
 
Sisi tunaopenda kutoa hela ya kiwi tutapata shida kwasababu hakutakuwa tena maongezi ya kupeana pesa
 
Back
Top Bottom