ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 757
Tanzania ikiiga siyo mbaya rafiki ila nashauri Wahandisi wa Kenya wa sekta ya majengo waige wenzao wa Tanzania katika kusimamia ujenzi majengo yamezidi kuporomoka kila kukicha leo tena KasaraniUtasikia kesho na keshokutwa Tanzania nayo itaiga hata kwa kuunga unga tu bila kujiandaa. Utaona mchina ama mhindi wa IT kampuni ya nje inapewa tenda wakati wana tuko hapa hapa na proposal tushwawwpelekea
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app