Nibiru X
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 425
- 436
Habari watu wangu wa nguvu,
Tangu hapo awali technolgia imekuwa inakua kwa kasi kubwa sana kiasi cha kuwa na akili bandia kutumia roboti kufanya kazi na shughuli na kijeshi na intelligence project kufikia kote huko mwanadamu ameshindwa kutengeneza technology ya kuzungumza na wafu imekwama kabisa.
Watu wengi hapa duniani wamepoteza wapendwa wao waliowapenda sana lakini baada ya vifo vyao hakuna lolote lililoendelea ikimaanisha walipoteza mawasiliano pale tu walipofariki.
Haijulikani wanafanya nini wanavaa nini wanakula nini ni swali gumu sana ila tuishie kusema kuwa licha ya technology kukua kiasi kikubwa sana kuzungumza na wafu kumeshindikana una maoni gani kuna uwezekano wa jambo hilo.
Vitabu vya dini haviruhusu jambo hilo?