Anaandika Emali.
Kidegeye666@gmail.com
Whasp0769035335
============================
MTAMBUE STANELY MEYER MTU ALIYE TENENEZA GARI LINALOTUMIA MAJI,AKAZAWADIWA KIFO.
Alizaliwa 1940.Walizaliwa wakiwa mapacha yeye na kaka yake stephene.Ktk wakati wa utoto alikuwa muda mwing akiwa akijenga au kuunda vitu mbalimbali.Alisomea chuokikuu cha Ohio state university,na alipo maliza alijiunga na jeshi na baadaye aliajiriwa katka kampuni ya ya Battle Fondation.Pia aliwahi kufaya kazi kitika shirika la anga la Marekani NASA.
Alipata tunzo nyingi za kimataifa,kitaifa na zamashirika.Alipata tuzo ya uvumbuzi mwaka 1993 ilofahamika kama Who 's who of america.Ilikuwa ni kutokana na uvumbuzi wake.
Ilipofika 1975,aliweka shabaha ya kutaka kufanya kile ambacho wana fizikia na kemia hakito kuja kuwezekana;yani cha kufanya maji yaanza kutumika kama nishati badala ya mafuta!!
Aliamini ipo siku mafuta yatakuja kuisha huko uarabuni na hivyo lazma maji yatumike kama nishati mbadala..
Meyer alisema
"..inahitajika sana kwa haraka kuleta nishati mbadala badala ya mafuta.."
Mhandisi huyu(Eng) huyu aliingia kwenye utafiti huu licha ya kukatishwa tamaa za watu waliojaribu kufanya maji kuwa nishati na kushudwa na kuja na hitimisho kuwa "Nijambo lisilo wezekana kwa maji kutumika kama maji"
Kuto tamaa kulimfanya afikie ndoto yake kwa asilimia mia...
Alianza kutembea na gari lake jekundu lililokuwa linatumia maji, akiwa ameliandika "WATER POWERD" akizukuka kati mji na jion kuludi kutika karakana yake na maabara yake.Alipo ji ridhisha na uvumbuzi huu aliamua kuita wanayasanyi mbalimbali ili kuonyesha uvumbuzi wake.
Aliambatana na pacha wake ktka mkutano huo ili kuonyeshea ulimwengu kile ambacho kilidaiwa hakiwezekani,alifikia hotelini.Sikumoja kabla ya siku ya maonyesho hayo,alipewa juice ilikuwa na sumu!
Akiwa chumbani aliletewa juice,na alipo imaliza alianza kutapika kupitia dirishani alisikia akipiga kelele akisema "wamenipa sumu" "wamenipa sumu"pacha wake aliye kuwa nje alikimbia mpaka chumbni alipokuwa mdogowake Stanely na kumuuliza kulikoni?Umepatwa na nini?
Alijibu kwa ufupi...
"WAMENIPA SUMU" huo ndio ukawa mwisho wa ndoto ya Stanery Meyer na uvumbuzi wake ukaishia hapo.
Nani alipa sumu Stanery Meyer?Na kwa nini walimpa?
Hata kama hatuwez kujua nani alipa sumu ili tunaweza kufahamu kwa nini walimpa sumu.
Ni ukweli usip pingika kuwa alikuwa amekuja na Mageuzi makubwa ya kuteknolojia ambayo sio tu yangemfanya kuwa tajiri ila zaidi angeua soko la magari,pilipiki na vyombo vyote vitumiavyo mafuta na sasa soko la mfuta lingekufa kabisa.
Teknolojia hii ingeua kabisa uchumi wa nchi za kiarabu,uchumi wa mtajiri walio kuwa wamewekeza kwenye mafuta....
Je teknolojia hii itakuja kurudiwa tena?Jibu ni ndio,naimani walio muua walia haukuwa wakati wa tenolojia kunza kutumika kwani,leo huko burazili kuna mtu ameweza kutengeneza pikipiki inayotumia maji,inaweza kutembea km 70 kwa kutumia lita 1 tu.Na tena inatumia maji yoyote safi na mchafu ila tu ni mhimu kuyachuja.Nitumaini yangu mika kadhaa ijayo tutaiona teknolojia hiyo.....
Kama unacho kitu unafahamu juu ya mtu huyu karibu...
Maoni,
Ushauri
Karibuuu
Wako;
M.Kidegeye
Emali.
Kidegeye666@gmail.com
Whasp0769035335.
Coment ni muhimuuu......