"Optical Marker Reader" ni teknolojia itakayotumika kusahihishamajibu ya Mtihani wa Darasa la VII kuanzia mwaka huu wa 2012, mwanajamvi hajaweka wazi wengi wajue. Ni kweli teknolojia hii haifai katika mazingira ya shule zetu za vijijini kwa sasa, lakini kwa kuwa tayari NECTA wamesharidhia na mipango ishafanywa hatuna budi kukubali. Waswahili husema, 'ushikwapo shikamana' kwa hiyo hata wewe Bw. Kaupwe huna ujanja. Lazima kukubali 'OMR' kwa sasa hata kama shule yenu ya HEKWE au NYAMATARE haina madawati ya kutosha ni kivyenu. Hizi ni zama za SCIENCE & TECHNOLOGY bwana!!!!:A S shade: