Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Wakuu
Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati.
Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama nyanja za mpira,viwanda na nyinginezo chini ya usimamizi madhubuti!
Vyanzo vya umeme wa jua, kinyesi (Biogas), maji na gesi asilia vitumike vyote kwenye Taasisi zetu nchini tusiwe na chanzo kimoja cha umeme kama ilivyoe sasa!
Teknolojia ya gesi ya mboji au Biogas ni muhimu kama ikiratibiwa vema chini ya wataalam makini kama huko Botswana inavofanyika!uwanja wowotee uwe na umeme wa kujitegemea na sio grid ya Taifa inayoungwa MOJA kwa moja!
Tufanyie kazi hili KWA mstakabali wa Taifa letu na kuepuka aibu kama za jana!
Wenye Mamlaka fanyieni kazi hilo!
Mungu ibariki Tanzania!