vyuo vya kata wanafunzi wakata na mambo yakata
pyuuuuuuu
Teku nayo ni university duh huku tunakoelekea sasa nina wasiwasi
teku nacho chuo? Km ni chuo makubwa
hapana kitu hap0
nichu0 cha kata hch0
Unamanisha nini mkubwa, msiwe na mawazo mgando,mnafikiri chuo ni udsm tuu poleni,me sipo TEKU lakini nakitambua kama University
Bishaneni majina ya chuo weee mkichoka fainali mtaani ndo itajulikana nani mfanyakazi na nani kibarua,wadogo zangu msitishwe na majina ya chuo wapo walosoma hivo wanavoringishia mtaani still wanasota,hivo wanavoviita vya kata mambo safi,simama imara