Teku kilio

Teku kilio

visent

Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
22
Reaction score
0
Wanafunzi wa TEKU walia NJAA baada ya BUMU kuchelewa waiomba loan board wafanye faster
kama niaje wadau wa JF tuwaangalie ndugu zetu:sad:😡
 
tuwasaidie kivipi tuwakopeshe au?afu tena kwanini mnadharauliwa hivyo teku ni college au university mpaka boom lenu mnacheleweshewa?,karibuni UDSM tunaendelea kupiga kitabu bila wasiwasi
 
Tatizo mnatumia ela tafikiri kila wiki linatoka. Vumilia vumilia ukiona shida inazidi ujue neema inakaribia.
 
vumilieni bwana hamjui nchi yetu inahali ngumu au nyie siyo wazalendo.Nyie chadema ee
 
mnatumalizia hela sisi mafisadi, TEKU ndo chuo gani hicho jamani, hamkutakiwa kupewa hata shilingi moja....ngoja niingie ikuru mtasema na hicho chuo chenu cha elimu ya kichina.
 
mnatumalizia hela sisi mafisadi, teku ndo chuo gani hicho jamani, hamkutakiwa kupewa hata shilingi moja....ngoja niingie ikuru mtasema na hicho chuo chenu cha elimu ya kichina.

sasa na wewe "IKURU" ndo nini?
 
Mkuu Katitima;

Hao ndio wale wanaokufa na vidigrii vyao vimoja wakidharau kujiendeleza kwa kupitia vyuo kama Open Univercity na vinginevyo.
 
mnatumalizia hela
sisi mafisadi, TEKU ndo chuo gani hicho jamani, hamkutakiwa kupewa hata
shilingi moja....ngoja niingie ikuru mtasema na hicho chuo chenu cha
elimu ya kichina.

inaonekana ww ni msomi usiejitambua na uliekosa busara na hekima,kwanza lugha ni tatizo kwako go and just take a short course on lg usage@mshikawezi
 
mkuu katitima;

hao ndio wale wanaokufa na vidigrii vyao vimoja wakidharau kujiendeleza kwa kupitia vyuo kama open univercity na vinginevyo.

Salama salimini,na hawa ndo huwa na mbwembwe na nyodo mtaani kwa kutaka kila mtu ajue kuwa yeye ana kadegree ka chuo fulani tena wakati mwingine kanakuwa hakana hata tija mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom