TEKU mambo yameiva!!!

TEKU mambo yameiva!!!

JF UNIT

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
32
Reaction score
0
hatimaye loan officer atoa tangazo kwamba mkwanja ulishafika chuoni kilichobaki ni kusaini mkwanja uingie kwenye akaunti
 
wahi kijana,usign mpunga!hata mm ni BED MATHS nimeshasign.
 
wanapoteza hela jamani, na TEKU nao wanapewa chuo gani hicho jamani.....ni kauli yangu mtoto wa kigogo fulani ambaye jina lake linaanzia silabi KI...ni darasa la saba ninayekula bata BOT utaniambia nini ww!
 
mtoto wa kigogo wakati baba yako anakufa kwa njaa kijijini soma kuelimika si kukariri mbweha wewe
 
Back
Top Bottom