TELBOX TANZANIA

Kona mbele

Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
59
Reaction score
15
Hamjambo humu ndani? Nawaomba mnielimishe juu ya hii app (TELBOX TANZANIA-inasemekana INA uwezo wa kufuatilia mawasiliano ya mtu yeyote unayetaka kumfuatilia) Nimei download nikataka kuitumia nikaambiwa nitume 45 elfu kwa Tigo na namba nikapewa.Km kuna mtu ashafanikiwa au una a b c yeyote juu ya hii app please nijulishe.
 
Tuma kwanza pesa ili uone kama utafanikiwa
 
Mbona hukutuuliza wakati unai-download? Umeambiwa utume pesa ndio unakuja huku mbio kutuuliza! We tuma kwanza halafu ndio uje utuambie kilichotokea...
 
Kwanza anaitaka application hiyo ili amfuatilie nani? Na kama ni mkewe, akijua kuwa anam-cheat, je, anao ubavu wa kumwacha, au ndio kujitafutia matatizo?...
Jombaa wasi wasi ndio akili tatizo kukabili matokeo ya kazi ya hiyo app
 
Jombaa wasi wasi ndio akili tatizo kukabili matokeo ya kazi ya hiyo app
Usimuwekee mitego mingi mke/mpenzi wako ya kumfumania wakati huna uwezo wa kumuacha… ndiyo maana wazee wa zamani walikuwa wanakohoa kohoa na kuimba imba nyimbo mita mia kabla ya kufika nyumbani ili kama kuna mgoni ndani aweze kukimba…

Shauri yako!...
 
Teh Teh, mambo ngumu kui handle hii
 
Hiyo ni uongo, app za kweli zinakupa trial at least uweze ku prove service yao... Achana nao, ila kama unataka app za hivyo malipo yake ni ya subscription sio kununua mara 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…