Zarafi Zekitabu
Member
- Oct 22, 2013
- 38
- 0
- Thread starter
-
- #21
Kichwa cha habari kinatia kinyaa..
Jitihada yako ndio itakayokusaidia na sio kozi mkuu
Nzuri cna endapo utapata mchonngo mzuri
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kasome tu uishie kuwa NOC operator kule helios kama maugo
Stay focused dgo...
NOC Operator kazi nzuri sana unajua mambo mengi sana ya telecom kuanzia power hadi transmission.
Tena ATC, we nenda tu hiyo telecom yako, utauza vicha na earphones mpaka utaomba poo.
This field is saturated
Xaxa mkuu juxt chuz urslf cozi unayolyk koz ukskza ya wa2 utaumia kichw bure bla 7babu.
kivipi kaka?
Msaada wenu jaman Nmechaguliwa Telecom Engineering hapo Arusha Tech college bt kuna baadh ya wa2 wamenishauli nibadilishe hii course coz cku hz hain dili eti bt nyie mnanishaur vp bt me nliipenda kwasabab ya maneno yao natak nibadilishe nkaxome Civil Engineering,,,,,bt nko njia panda,,,????
INFORMATION ukiniuliza mimi hiki ndio kitu cha thamani zaidi duniani ..Telecom deals with it meaning to insure that information is conveyed fastly and in time .ukiniuliza mimi nitakwambia nafasi za hawa watu zipo nyingi sana na bado watahitajika tena sana for the next 100 years kwa nini nasema hivo labda?.. mimi nimemaliza CEIT udsm mwaka 2012..na kwa waliosoma udsm wanajua ukaribu kati ya TE na CEIT...sasa nipo ktk ajira naona demand kubwa sana ya hawa watu.. kiasi kwamba baadhi ya kampuni huajir watu kutoka nje kufill hyo void misconception kubwa ya watu kuhusu TE ni kuwa wanahisi ukisoma TE lazima uajiriwe na kampuni za simu bt no thats not true TE ina wigo mpana sana kuanzia kwenye vituo vya television, mabenki na kampuni nyingj huitaji huduma related to TE kama vile AVIAT, VSAT, WiMAX pamoja na fibre optics solutions.. asikidanganye mtu narudia katika dunia ya sasa its all about information and communication .kila la kheri katika kufanya maamuzi