Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

Ww hujui historian kasome kitabu kinacho itwa the guardian angel by anorld bisase ndio utajua IDD amin alikua MTU Wa namna gani.nyerere ndio alikua anataka kumurudisha mgalatia mwenzake.nye mnajifanya mumesoma hamjui historia
 
Habari hii inawajia Kutoka Radio Tanzania Dar es salaaam, Msomaji wenu ni David Wakati.

kagera kwenye uwanja wa mapambano mleta taarifa alikuwa Ben kiko wa Radio Tanzania Bukoba.
 

Wananchi hao walipohojiwa na Mtangazaji wa RTD walisema askari wa Amini waliwaowa na mwingine alipigwa mpaka mdomo ukamwagika.
 
Imagine wewe ni mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi nyingine anakutukana kiasi hicho na ukanyamaza eti ni vita binafsi...kwangu haiingii akilini. Nitampiga na wananchi wangu watanisupport kuondoa dharau kwa kiongozi mkuu wa nchi.

Yale maneno ya kagame kuwa jk anaongea uttermost nonsense hayakuwa matusi?
 

Well said mkuu
 
Kweli huyu jamaa alitudharau sana lakini nilichompendea ni hiki hapa!



Na hii hapa!


In reality Hakuwaadabisha wazungu, only individuals. Tu ndio aliweza kuwahenyesha. Ndio maana hakuna taifa la wazungu lililoota ama kufikiria kuja kufanya vita na amin. Amin Alitaka Israel imsujudie alipokalia mateka wao pale airport Entebbe, hata hivyo hakufanikiwa baada ya Israel kuwaokoa. Sababu ni kuwa Israel ilimchomolea mpango wake wa kuiadabisha Tanzania, ili Ku-retaliate akaamua kuwasapoti magaidi wa kipalestina.waliokuwa wamefikia nchini kwake.

Kimsingi "Dada" ni Kama hakuwa na direction ya nini afanye katika taifa lake. Alikuwa amelewa madaraka. Only racists will be happy with this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…