Telekom Kenya Immediately Opens a new Customer Campaign to cater for National Nasa Boycott campaign Airtel too

mazee naona ume screenshot eliakeem hapo.
niaje??
 
mambo nyumbu
Me sio nyumbu. Mimi team Magufuli mwanzo mwisho. Nilikuwa cdm ya Slaa though.
Nyumbu hawa hamna kitu tena.
They are walking dead, another nccr.
 
Hivi hakuna wa luo wako employed na safaricom. Wakenya kuna vitu nyingine zinahitaji common sense
 
Hivi hakuna wa luo wako employed na safaricom. Wakenya kuna vitu nyingine zinahitaji common sense
Wacha tu. Nimengoja huyu jamaa wangu "Raila damu" kujiuzulu kutoka mojawapo ya hayo makampuni.

Huwa namcheki anavyongea.....najisemea tu undanindani "upuzz".
 
Wacha tu. Nimengoja huyu jamaa wangu "Raila damu" kujiuzulu kutoka mojawapo ya hayo makampuni.

Huwa namcheki anavyongea.....najisemea tu undanindani "upuzz".
Na ugali atapata wapi [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…