Televisheni vs Fasihi andishi

Televisheni vs Fasihi andishi

Mfalme Daud

Senior Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
170
Reaction score
125
Wadau niaje mabest zangu. Naamini jukwaa letu lina wasomi wengi. Kuna swali linanisumbua kama kuna majibu with reference nitafurahi sana! Swali lenyewe hili; Eleza jinsi ugunduzi wa televisheni ulivyoathiri fasihi andishi kwa kurejelea wataalam mbalimbali. Kama kuna mwenye majibu, nayasubiri ham mno. Jamani kozi weki hii!
 
Swali je ni television mpokeaji anaweza kurefer later?
kwani andishi, atachukua kitabu atarefer.
Sijui kiswahili kabisa ila ningeweza kuvisualize na kujibu.
Tafakari.
 
Back
Top Bottom