genius mvivu
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 156
- 275
Mkuu kama vipi ungepunguza punguza hizo inch mpaka kufikia 24" hivi ili watu wainunue faster. Inch 50 uko mbali sana kwa hii TELEVISION.
Inch 50 inaijua kweli?Nauza TV aina ya LG inch 50
Ina tatzo la kioo tu
Bei 250000
Maongezi yapo
Location:mbande dsm
Contact 0683341992
Contact 2: 0623495490
Yupo wapi tumpe hiyo laki mkuuUkweli ni mchungu
TV ni kioo kama kioo kimeungua basi hutoweza kuuza
Kama mteja ataitaka labda ana kioo chake ndio akupe laki
Ili upate hela nzuri tafuta fundi uwe nane karibu uuze vifaa vya ndani ya TV
Ila kama hana kioo atalazimika kununua Kioo kwa bei sawa na TV kitu ambacho si kweli.
Juzi hapo kuna nchi 85 smart tv jamaa ananibembeleza mpaka laki na nimekataa, TV ambayo mpya inauzwa million 5 fikiria mtu anauza laki moja. .
View attachment 2233031
Mcheki 0654624140 Anaitwa shabanYupo wapi tumpe hiyo laki mkuu