Telexfree ni decy mpya?

Telexfree ni decy mpya?

LORIN

Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
51
Reaction score
23
Habari zenu wana JF.
Naomba wanaofaham kuhusu Telexfree ni nini? Je ni aina nyingine ya decy?. Tafadhal naomba wanaojua kuhusu hili wanijulishe na mimi.
 
mimi kuna rafiki yangu amenialika na kunionyesha account zake kama 4 na kuniambia ameshachukua mil 8 na kununua mkoko bado najitafakari.
 
Nasikia Brazil waliipiga Ban toka 2013 na kesi inaende4lea ambapo hukumu ya mwisho ni mwaka huu! na haina ofisi maalum!
Binafsi wamenishawishi mpaka basi ila sina imani man!
 
kuna jamaa yangu kajiunga kaweka dolla 16000 atakuwa anavuna dola 1100 weekly.. kanishawishi ila nimepitia ktk Wikipedia naona hii kitu ni ponzi scheme kabisa
 
Wakuu,

karibu nitose USD 16,000/= kutrade na TelexFree: TelexFREE, baada ya kushawishiwa na rafiki yangu mmoja ambaye tayari amekwishajiunga! Lakini, dah, baada ya kuwaza na kuangalia maelezo yao na FAQs (TelexFREE) katika website yao nikagundua hii ni DECI ya kimataifa na watu wengi watalia huko mbeleni!

Wana masharti ya ajabu ajabu, halafu kuwasiliana nao tu ni issue, sasa sijui siku wamekula kona, unaingia kwenye website yao kila ukijaribu kuload unakutana na message:

Server not found

Firefox can't find the server at TelexFREE

Check the address for typing errors such as ww.example.com instead of Example Domain
If you are unable to load any pages, check your computer's network connection.
If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure that Firefox is permitted to access the Web.

Au "404 Not Found"

Nimejiuliza maswali haya:

1. Hivi wakila kona, nitawashtaki kwa nani?

2. Je, naweza kuisimamia hiyo kesi na kushinda na kurudishiwa hela zangu na fidia juu ikiwa tu DECI ya hapa bongo watu mpaka kesho wanalia?

Nilijaribu kuwasiliana nao kuhusu partnership, wana longolongo na fix sana mpaka nikasema oh, No!

Napredict kwamba TelexFREE wakifikia boom stage watazima jumla! Hapo sasa ndio tutaona watu wangapi wanaweza kufanya kesi na kampuni la Kibrazil wakiwa bongo!
 
Sema ww mkuu, labda watasikia !! Kuna thread moja nlianzisha humu JF kuhusu hawa TELEX. Nilitoa facts kibao na envidence about this scam. Ila kama kawaida wabongo hawaambiwi hawasikii. Mi nikaamua kujikalia kimya, Ila kuna siku utakuja sikia vilio tu. Yetu Macho !!
 
Telexfree wanauza product ambayo ni software/Airtime (VOIP=Voice Over Internet Protocol),kama ilivyo skype,Go to Call.Pia wanafanya Online adverts/matangazo,kwa makampuni makubwa ya biashara.Sio kama deci kwa sababu telexfree kuna kazi unafanya ndio upewe hiyo pesa.Ukitoa $415.00 unapewa tangazo moja la kurusha kila wiki,$1,500.00 matangazo matano kwa wiki.Telex free wanazo ofisi duniani.

https://www.telexfree.com/contact
 
hapa nchini ofisi zao ziko wapi? wamesajiliwa hapa nchini kama kampuni?
 
Kwa mtu aliejiunga ukimweleza mtabishana hadi asubuhi..
Ts a matter of 'risk' ,waliojiunga mapema wengi washarudisha hela,swali ni kwamba CAN U RESIST THE TEMPTATION YA KUWEKEZA HELA TENA ILI UVUNE ZAIDI??
Kama mtu una 'loose' money lying in the bank maybe,js invest huko,likibuma basi,maybe utakuwa umepata some free faida or not
 
Back
Top Bottom