Wakuu,
karibu nitose USD 16,000/= kutrade na TelexFree:
TelexFREE, baada ya kushawishiwa na rafiki yangu mmoja ambaye tayari amekwishajiunga! Lakini, dah, baada ya kuwaza na kuangalia maelezo yao na FAQs (
TelexFREE) katika website yao nikagundua hii ni DECI ya kimataifa na watu wengi watalia huko mbeleni!
Wana masharti ya ajabu ajabu, halafu kuwasiliana nao tu ni issue, sasa sijui siku wamekula kona, unaingia kwenye website yao kila ukijaribu kuload unakutana na message:
Server not found
Firefox can't find the server at
TelexFREE
Check the address for typing errors such as ww.example.com instead of
Example Domain
If you are unable to load any pages, check your computer's network connection.
If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure that Firefox is permitted to access the Web.
Au "404 Not Found"
Nimejiuliza maswali haya:
1. Hivi wakila kona, nitawashtaki kwa nani?
2. Je, naweza kuisimamia hiyo kesi na kushinda na kurudishiwa hela zangu na fidia juu ikiwa tu DECI ya hapa bongo watu mpaka kesho wanalia?
Nilijaribu kuwasiliana nao kuhusu partnership, wana longolongo na fix sana mpaka nikasema oh, No!
Napredict kwamba TelexFREE wakifikia boom stage watazima jumla! Hapo sasa ndio tutaona watu wangapi wanaweza kufanya kesi na kampuni la Kibrazil wakiwa bongo!