jerry hudson
Member
- Feb 23, 2014
- 32
- 3
Walilizwa wengi huko Brazil na Marekani ipo under investigation Bongo its just a matter of time.. binafsi ninachojua kuhusu huu utapeli niliandika hapa majuzi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oes-not-make-economic-sense;.html#post9197565
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=...
Hapa bongo kwani bado WaPo nilisikia serikali imewapa onyo kuacha mchezo wao
Kumbe telexfree imewaliza watu.. Heh...walikua matapeli
Mwenye kulijua hili kwa KINA anijuze hapa.
fupa hilo. Nenda kama hujaja mwaga kilio humu jf.
mwana mie nilionaga yule joyce kiria wa eatv akihamasisha watu wajiunge