We si mko na mahondaw
Acha uongo aise mama!Hahahh mbona nimekuPM juzi hujanijibu hadi sa hivi?
Sio uongo,ni utaniAcha uongo aise mama!
Vyote kwa pamoja uache.Sio uongo,ni utani
Usinitukane basi nakuPM sasa hiviVyote kwa pamoja uache.
Nakutafutia tusi la kichina.
hivi mahondaw wako yuko wapi, tumemmiss kwenye majukwaa, hususan mmu