Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
"we will stop rain for you." ni kauli ya rais wa awamu ya sita waJamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa filamu ya royal tour huko nchini marekani. Alisema kauli hii katika kuwatia moyo watalii waje kuzulu nchini kwa nyakati zote hata msimu wa mvua na kwamba watasimamisha mvua kwa ajili yao!
Ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye mamlaka juu ya hali ya hewa isipokuwa kwa amri ya muumba pekee!
Tazama mvua zinazonyesha hivi sasa hata maeneo ambayo huenda mvua hiyo isingehitajika kwa kiwango hicho! karibu nchi nzima ni mafuruko, miundombinu inaharibika, watu wanapoteza maisha. Hakuna sababu yoyote ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi. Tumshauri kiongozi wetu abatilishe kauli yake. Aseme tu kwa ukweli no one has the power to stop rain in our country. Waganga wa mvua siku hizi hawapoo! Only GOD can lets pray!