Telnet au SSH?

Telnet au SSH?

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
423
Reaction score
116
Ni mara nyingi mtu huwa anahitaji kufanya configration kwenye Router au Switch remotely,kuna njia kadhaa za kufanya hivi,njia kubwa ambazo zinatumia ni Telenet na SSH,hivyo tupate deep understanding juu ya hili..
Angalia attachment,nimeambatanisha pdf ambayo nimeiandaa toka vyanzo tofauti ili kuweza kupata ufahamu kidogo juu ya hili,

kama attachment haionekani au inasumbua basi unaweza kuipata kwenye original post HAPA

kwa mada za ICT tembelea www.afroit.com
 

Attachments

Back
Top Bottom