''Tema mate tumchape'' Yanga, Jumamosi 25 February 2017

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
''Yanga Afilika'' ikiwa bado ina kumbukumbu za ''kupukuchuliwa'' goli 5 katika Kombe la Mapinduzi imekuwa na bahati mbaya tena wiki hii siku ya Jumamosi ambapo itakutana na kiboko yao Simba Taifa Kubwa.
Yanga ambayo katika maandalizi yake ya jumamosi imekuwa ikipoteza mda mwingi kuwajadili Ajibu, Mavugo na Juma Luzio huku kwa tabu itafuta uchochoro wa kuuvuka ukuta wa Mwajale, Bukungu, Shabalala, Kotei na Agjei

Kwa sasa sina mengi zaidi ya kuwatakia kipigo chema Yanga siku ya jumamosi, na kuwasihi Simba wapunguze hasira kwani wenzetu hawa wapo kwenye kipindi kigumu kutokana na majibu ya Vipimo vya Mkemia Mkuu
 

Attachments

  • 15941123_704665796359105_6884515816021030663_n.jpg
    61.3 KB · Views: 57
Hii tarehe ya mechi inanikumbusha jezi ya okwi(25)nikitoa mbili hiyo tank inanikumbusha kipigo cha 5-0..chochote kinaweza kutokea namba hazidaganyi!!
 
Hahahhaaaahh... Vyura wanatetemekaa tuu!! Afee beki afee kipa Ndala lazma apigwe tyu hakuna namna...
 
Refa atakayechezesha anatoka nchi gani ?
Bado sijajua Mkuu.. ila kwa tulivyojipanga safari hii hata refa atoke Afghanstan.. kipigo ni halali yenu.
 
Kwa majigambo haya, simba mnafungwa tena moja tu....kimya!!
 
Msije potea humu ndani,nawakumbusha tu msimu uliopita tuliwa 0712 nje ndani
 
Tv za uwanjani ziwe Live maana sina imani na mikono ya Tambwe kwakweli.Yule jamaa anamikono ya ajabu sana.Kule Tanga hakuonwa, Taifa nako refa kasema hajaona.Hii si sawa kwa mtu huyohuyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…