Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Nimejikuta naipenda commet yako hiiAcha kuota, ndoto za mchana wewe mkia. Tukutane 25 Feb, mubashara.
Mavugo kafanyaje mkuuMkiwa na forward yenu mavugo?
Wewe hii umecomment baada ya mpira kuisha? Ndo nini kumwambia mwenzio ukweli halisi na ikiwa muda ulikuwa bado? Usirudie tena huu ni uchochezi sasa.....Mkuu naomba tubet,Simba atapiga 2 kwa 1,na Mavugo atatupia 1
Post za humu zinaonyesha mda,check mda mkuu,nilipost ijumaa saa 7 mchanaWewe hii umecomment baada ya mpira kuisha? Ndo nini kumwambia mwenzio ukweli halisi na ikiwa muda ulikuwa bado? Usirudie tena huu ni uchochezi sasa.....
Unapaswa kuhojiwa kwa uchochezi huu hatari mnoPost za humu zinaonyesha mda,check mda mkuu,nilipost ijumaa saa 7 mchana
Sikuwepo lakini King Mpira Kibadeni alipiga hat trick rekodi ambayo haijavunjwa kwa historia ya watani wa jadi.Awamu ya Nyerere mtu aliwahi kupigwa 6G nani alikuwepo Enzi za Mwalimu atupe historia
Simba endeleeni na historia za kipuuzi,jmosi tunawagonga 2 kavu
Tulikuwa kwenye nafasi mbaya,hatukuwa na mwenendo mzuri kiasi cha kukaribia kushuka daraja,lakini hatukushuka.1987 na 1988 mlikuwa mnashuka daraja ...kumbukeni historia yote