Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
da...ilikuwaje? TB?
kama unamsema huyo anaetokea kwenye hiyo video ameshafariki
amefariki muda mrefu umepita, temba ndo alitangaza kifo chakeKafariki lini? Kuna magazeti ya shigongo au temba alisema yule demu ndingi yake mchungaji na ilileta utata sana kutokea kwenye ile video,sijawahi kusikia taarifa za kifo chake.
Yupo gpsa pale kurasini huyo mdada ni mweupe tu madereva wa serikali wanajipigia tu wala siyo mchoyo sijui atawachoma wangapi hvyo visu
Watu wanasubiri afungwe tu
Mbona umeweka conclusion ya TB.
Alifariki huyo mdada walitangaza tangaza kifo chake kwenye baadhi ya blogs
ila vyovyote vile habari imenisikitisha kidogo kama sio sana. anaonekana alikua mcheshi sana nikiikumbuka ile video!
kama unamsema huyo anaetokea kwenye hiyo video ameshafariki
Basi ndio hivyo tena alifariki October mwaka jana.. walisema chanzo ni maradhi yaliyokua yakimsumbua kwa muda mrefu sasa sijui ni maradhi gani??